MAWASILIANO

 Tunauza uyoga ukiwa katika vifurushi tofauti kulingana na kipato na mahitaji ya mteja.



  1. Rejareja
  • Kifurushi cha gram 190                                   Tsh 2,000,
  • kifurushi cha gram 250 ( Robo kilo)              Tsh 3,000, 
  • Kifurushi cha gram 500 (Nusu kilo)              Tsh 6,000, 
  • Kifurushi cha Kilogram 1 (Kilo moja)             Tsh 12,000.  
      2. Jumla

      Kwa wateja wa jumla, utaratibu wa kununua ni kuanzia Kilogram 3 na kuendelea 
      kwa gharama ya Tsh 10,000 kila kilo moja.


Kwa mahitaji ya huduma zetu tutafute kupitia anuani zifuatazo:-

simu : (+255) 659 683 041

Barua pepe : mkassy.info@gmail.com

No comments:

Post a Comment